kiukweli mimi nina ushaidi wa baadhi ya taasisi za serikali ambazo ukata pesa kutoka kwenye mishahara ya watumishi wao,
kila mwezi, na baadhi ya Wakuu wa Taasisi hizo ni Board Members wa Executive Comittee ya Loan Board! kuonyesha ujinga wao hata hao waajiri wao wameorodheshwa kama hawajawai kulipa, na wala hawafahamiki walipo! very stupidy kwakweli! kibaya zaidi kuna wawakilishi wa Loan Board kila mwezi wanalipwa perdierms na allowances kwenda kukolekti malipo hayo, sijui hizo hela na majina ya walipaji zinaishia wapi?