afadhali we umeandika ni jumba la freemasonry na si kanisa kama mpuuzi mmoja wa bbc aliuyoandikaSio wageni kuhusu hii dini ya freemasonry ambayo ikijitapa kuwa inanguvu ya pesa na watu maarufu.
Huko nairobi wana deni la pango nyumba za serikali mpaka kufungiwa jumba lao maeneo ngara.