Wadaiwa wa nyumba za Serikali Nairobi eneo la Ngara mpaka jengo la freemasonry wameshindwa kulipa deni

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Sio wageni kuhusu hii dini ya freemasonry ambayo ikijitapa kuwa inanguvu ya pesa na watu maarufu.

Huko nairobi wana deni la pango nyumba za serikali mpaka kufungiwa jumba lao maeneo ngara.
 
Sio wageni kuhusu hii dini ya freemasonry ambayo ikijitapa kuwa inanguvu ya pesa na watu maarufu.

Huko nairobi wana deni la pango nyumba za serikali mpaka kufungiwa jumba lao maeneo ngara.
afadhali we umeandika ni jumba la freemasonry na si kanisa kama mpuuzi mmoja wa bbc aliuyoandika
 
Kila mtu anatype anavyoweza ila key point ni Freemason kudaiwa kodi
 
kwani jamani matajiri huwa hawana madeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…