Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yamenikuta mwenzenu.
Hapa naandika talaka, tena KWA HERUFI KUBWA!!
Wewe ndo umetoa hiyo mimba nini?Kama ni mimba yako basi ingekaa kwenye pumbuh lako la kushoto na tungeona MVIMBO. LA HASHA!
Kazi yako ni kukojoa tu, mimba hailipiwi inakuja yenyewe kutokana na michakato ya kibayolojia, haukuitengeneza wewe.
Mimba pekee uliyonayo ni hicho kitambi cha michemsho ya MIGUU YA KUKU na BIA ZA KUDOEA.
Cc: Lamomy Mbaga Jr Extrovert dronedrake The Icebreaker cocastic Poor Brain Kapeace Kalpana Mwachiluwi mshamba_hachekwi
Jau sana wew😅😅Kama ni mimba yako basi ingekaa kwenye pumbuh lako la kushoto na tungeona MVIMBO. LA HASHA!
Kazi yako ni kukojoa tu, mimba hailipiwi inakuja yenyewe kutokana na michakato ya kibayolojia, haukuitengeneza wewe.
Mimba pekee uliyonayo ni hicho kitambi cha michemsho ya MIGUU YA KUKU na BIA ZA KUDOEA.
Cc: Lamomy Mbaga Jr Extrovert dronedrake The Icebreaker cocastic Poor Brain Kapeace Kalpana Mwachiluwi mshamba_hachekwi
Lakini chips [emoji489] si alikula!?[emoji81][emoji81][emoji81] Mlimkopa