Wadau habari za jioni nahitaji msada wenu

kwaji

Senior Member
Joined
Nov 3, 2013
Posts
186
Reaction score
32
Nataka kufanya biashara ya kuuza oil za magari na filter betri je mawakala wa hivi vitu ni nitawapataje
 
Tembelea makampuni ya oil, wao watakuelekeza cha kufanya.
 
Back
Top Bottom