Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
Binadamu wa sasa hatuna capacity ya kupima matokeo(consequences) mipango (means) yetu imekuwa ya kijanja janja mno kitu ambacho kinafanya tujiumize na kuteseka mno,tunapenda kuiga mambo na kufunika kombe ili mwanaramu apite.
Juzi nilikuwa naangalia Movie ya kizungu kama kawaida yao kuna part zilikuwa za kikubwa walikuwa wanapelekana miti ghafla nami,nikakumbuka kumbe kuna mambo ya video za ngono bas sikuchelewa naingia kwa web nikatafuta na kuanza kuangalia ile michezo mpaka mwisho,kishtua changu kimoja chap,but huu ujinga nilishaacha yaani siangalii ila imekuja tu.
Baada kumaliza nikawa najiuliza why this happened?nikagundua ni nguvu ya macho ilishawishiwa na imagination ya Video zilizotengenezwa,Basi nipata conclusion kuwa Watoto wengi wanapotea kinaadili kwa sababu ya hizi telnolojia,images,,life style wanazoziona kwa wengine.
Hakuna kitu kibaya kama picha,saiti,miondoko,misisimuko ambayo kwa pamoja inaenda kuvibrate na mfumo wako wa ndani na kuanza kushake,na ikiwa utarihusu haya matendo kufanyika ndiyo nguvu kubwa ya ubomoaji ndani ya masikio,mwili n.k inaongezeka.
Tiktok,facebook,whatsapp n.k movies zote huwa zinawaharibu watoto na watu wazima.
NB ikiwa unajielewa mengi ayatakusumbua but ni wachache wenye tabia hizi wewe ambaye upo humu,na kusoma nyuzi hovyo haupo kwenye kundi hili nalolisemea hapa.