Vendelini Member Joined Jul 10, 2018 Posts 13 Reaction score 7 Aug 14, 2023 #1 Mara nyingi hufichwa chini ya gari nje
C cebran JF-Expert Member Joined Jun 20, 2014 Posts 278 Reaction score 684 Aug 14, 2023 #2 Mara nyingi Huwa gari za ulaya za Japan sidhani
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Aug 14, 2023 #3 Haifichwi unapewa ikija gari. Inatumia remote au funguo ya kuchokonoa? Kama vipi kachongeshe.
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,242 Reaction score 45,930 Aug 14, 2023 #4 Mad Max said: Haifichwi unapewa ikija gari. Inatumia remote au funguo ya kuchokonoa? Kama vipi kachongeshe. Click to expand... Au hata kama ya kuchokonoa Kuna jamaa anazibadili inakua keyless (remote) na unapatiwa ufunguo wa ziada.
Mad Max said: Haifichwi unapewa ikija gari. Inatumia remote au funguo ya kuchokonoa? Kama vipi kachongeshe. Click to expand... Au hata kama ya kuchokonoa Kuna jamaa anazibadili inakua keyless (remote) na unapatiwa ufunguo wa ziada.
Vendelini Member Joined Jul 10, 2018 Posts 13 Reaction score 7 Aug 14, 2023 Thread starter #5 The Monk said: Au hata kama ya kuchokonoa Kuna jamaa anazibadili inakua keyless (remote) na unapatiwa ufunguo wa ziada. Click to expand... Huyo anayebadili nampataje niko arusha 0789407060
The Monk said: Au hata kama ya kuchokonoa Kuna jamaa anazibadili inakua keyless (remote) na unapatiwa ufunguo wa ziada. Click to expand... Huyo anayebadili nampataje niko arusha 0789407060
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,242 Reaction score 45,930 Aug 14, 2023 #6 Vendelini said: Huyo anayebadili nampataje niko arusha 0789407060 Click to expand... Nnaemuongelea mie Yuko Magomeni Dar es salaam lakini unawezawasiliana nae. Walinifanyia yangu baada ya kusumbua sana wakaamua wabadili mfumo.
Vendelini said: Huyo anayebadili nampataje niko arusha 0789407060 Click to expand... Nnaemuongelea mie Yuko Magomeni Dar es salaam lakini unawezawasiliana nae. Walinifanyia yangu baada ya kusumbua sana wakaamua wabadili mfumo.
Mtu-Pori JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 1,296 Reaction score 1,468 Aug 14, 2023 #7 Nyingine huwekwa sehemu inapokaa spare tyre. Wengine huiweka mahali inapokaa jeki.
Boss la DP World JF-Expert Member Joined Dec 12, 2021 Posts 2,318 Reaction score 8,464 Aug 14, 2023 #8 Nje ya mada... Mnatoa hamtoi?
Jemedaree JF-Expert Member Joined Nov 22, 2021 Posts 676 Reaction score 2,024 Aug 14, 2023 #9 Vendelini said: Mara nyingi hufichwa chini ya gari nje Click to expand... Yaani ufunguo wa gari afu ufichwe tenaa dah[emoji23]
Vendelini said: Mara nyingi hufichwa chini ya gari nje Click to expand... Yaani ufunguo wa gari afu ufichwe tenaa dah[emoji23]
Vendelini Member Joined Jul 10, 2018 Posts 13 Reaction score 7 Aug 15, 2023 Thread starter #10 Jemedaree said: Yaani ufunguo wa gari afu ufichwe tenaa dah[emoji23] Click to expand... Ndiyo gari huwa ina funguo tatu kuna mmoja ambao hufichwa kwenye gari kwenye chesess huwekwa kwenye kibox chenye magnet na kugandishwa kwenye chesess
Jemedaree said: Yaani ufunguo wa gari afu ufichwe tenaa dah[emoji23] Click to expand... Ndiyo gari huwa ina funguo tatu kuna mmoja ambao hufichwa kwenye gari kwenye chesess huwekwa kwenye kibox chenye magnet na kugandishwa kwenye chesess