Wadau hamjambo naomba kujuzwa jinsi ya kupata ufunguo wa akiba unaofichwa kwenye gari aina ya alfard

Wadau hamjambo naomba kujuzwa jinsi ya kupata ufunguo wa akiba unaofichwa kwenye gari aina ya alfard

Haifichwi unapewa ikija gari. Inatumia remote au funguo ya kuchokonoa? Kama vipi kachongeshe.
 
Haifichwi unapewa ikija gari. Inatumia remote au funguo ya kuchokonoa? Kama vipi kachongeshe.

Au hata kama ya kuchokonoa Kuna jamaa anazibadili inakua keyless (remote) na unapatiwa ufunguo wa ziada.
 
Huyo anayebadili nampataje niko arusha 0789407060

Nnaemuongelea mie Yuko Magomeni Dar es salaam lakini unawezawasiliana nae.

Walinifanyia yangu baada ya kusumbua sana wakaamua wabadili mfumo.
 
Nyingine huwekwa sehemu inapokaa spare tyre. Wengine huiweka mahali inapokaa jeki.
 
Yaani ufunguo wa gari afu ufichwe tenaa dah[emoji23]
Ndiyo gari huwa ina funguo tatu kuna mmoja ambao hufichwa kwenye gari kwenye chesess huwekwa kwenye kibox chenye magnet na kugandishwa kwenye chesess
 
Back
Top Bottom