Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
kweli wewe ni foxyUnajuwa sana nilichokiandika, sema ukweli umekushushuwa na hujui namna ya kuujibu. "message delivered".
kweli wewe ni foxy
haha hujielewi hatumjadili kikwete bali tunajadili ubovu wa udom, miaka ijayo elimu itaporomoka sana uanzishwaji wa chuo cha kata cha udom
Udom a ni zao la Kikwete, record breaking, hamna zaidi ila mtaponda tu si initiative ya Kikwete au umesahau? Na nyie si ndio walewale?
hahaha chuo cha kataa, ushahid mwingine kuna demu anasoma hapo ananiambia hamna walimu tangu kaanza first year mpaka anaingia mwaka wa tatu hajawahi kufundishwa hata na profesa au doctor(PhD),ni uozo jamani elimu inabomolewa tanzania
asee kumuelewesha kilaza sugu ni vigumu sana wewe endelea kutetea ubovu wa udom
Naomba nifafanulie maana ya chuo cha kata...HAHAHA Degree kama LAW, TELECOMUNICATION ENGINEERING,PSPA,SOCIOLOGY, yaani ni uozo mtupuu yaani mkuu wa department ni tutorial assistant hiki ni chuo cha kata jamani kasoro majengo tuu,
huyo demu alisoma kwenye chuo chako na cyo udom hahahahahahahhahahahahahaah.....hahaha chuo cha kataa, ushahid mwingine kuna demu anasoma hapo ananiambia hamna walimu tangu kaanza first year mpaka anaingia mwaka wa tatu hajawahi kufundishwa hata na profesa au doctor(PhD),ni uozo jamani elimu inabomolewa tanzania
wa2 wengine kwel vilaza.....Kama unsoma chuo na we umeelimika na mtaft bhas jielewe kwa hili except kwa coz za practical zinazousisha chemical ambazo hata kama zpo udom n chache kama pharmacy, hauitaj mwalim wa kukufundisha darasan eht we mwanaume unasomewa notice na mwanaume mwenzako na eht unataka uwe kama yeye hapo u 'loose bihind the scene live' yahn unachokifanya unakop ukielew so wa2 woote waliokua majinias na wavubuz wa v2 hakuna hata mmoja alye vumilia kusomewa notice na mwanaume mwenzake so hacha mawazo ya kizaman. Kama kawaid ukiingia darasan n kusomewa notis kama unataka vitendo ingia UTUBE upakue materialz wenzako wanasoma online>>>Kumbuken wanaajir kwa 1.practically not certfct. 2.kwa tz n aayekujua... M not from udom bt kwa uelewa wakujiongeza ndo phd.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Ni ukweli Mwakalonge
UDOM ni CHUO KIKUBWA, siyo CHUO KIKUU. See the difference?
baba yako anafanya kazi TCU ndo kakwambia ivo au?
Naomba nifafanulie maana ya chuo cha kata...
hahahahahahhahahaha....mkuu hv secondary za kata maana yake zinamilikiwa na kata sasa UDOM nayo inamilikiwa na kata au? af kama inamilikiwa na kata itaje ni kata gan inayomiliki UDOM ili tujue vinginevyo futa kauli yako kwan haina tija yeyote apa jukwani.ni chuo ambacho ni kipya,hakina wahadhiri wakutosha, hamna practical za kutosha ,
Hapana Mkuu, ni dada yako ndiye kaniambia hivyo, nilikuwa naye jana kwenye Idd Mosi!!
baba yako anafanya kazi TCU ndo kakwambia ivo au?
Hapana Mkuu, ni dada yako ndiye kaniambia hivyo, nilikuwa naye jana kwenye Idd Mosi!!
asee kumuelewesha kilaza sugu ni vigumu sana wewe endelea kutetea ubovu wa udom
jukwaa la elimu la mwaka 2007-2012 na la sasa ni tofauti kabisa!!! tumezoea kuona watu wanabishana kwa facts lakini siku izi ni matusi tuuu!!! hii ndio maana halisi ya wasomi??? na hili jukwaa liliwekwa liwe kijiwe cha matusi??? mkuu Invisible na Robot muwe mnapitia hata huku mcheki usalama wa jukwaa letu!!!Kilaza ni wewe usiyeona wala kusikia
hahahahahahhahahaha....mkuu hv secondary za kata maana yake zinamilikiwa na kata sasa UDOM nayo inamilikiwa na kata au? af kama inamilikiwa na kata itaje ni kata gan inayomiliki UDOM ili tujue vinginevyo futa kauli yako kwan haina tija yeyote apa jukwani.
nimeshafika udom nina kakayangu anasoma LAW pale mwaka wa pili yeye mwenyewe anakiri kwamba UDOM ni chuo cha kata, kama hiyo haitosh nina rafiki zangu kumi wapo hapo UDOM nimesoma nao MZUMBE SECONDARY SCHOOL O_LEVEL wanakiri kwamba walimu hawana uwezo wengi wao wana DEGREEMOJA TU
najua we ni msomi lakini siku zote uchangiaji wako umekaa kishabaki na kuponda baadhi ya vyuo na kozi.
kama ungekuwa msomi wa kweli ungekuwa unatoa soln kwa matatizo husika mwisho wa siku elimu yako inaonekana msaada kwako binafsi na kwa taifa kwa ujumla.
kumbuka nchi kubwa kama tz yenye watu zaidi ya milion 43 inatakiwa iwe na vyuo vikuu vingi,sio rahisi wanafunzi wote kusoma udsm au sua.
binafsi nimesoma secondari ya kata o level, lakini Alevel nimesoma special school na university nimebahatika kusoma chuo kikuu kikongwe kabisa apa afrika mashariki lakini kamwe simwezi kumzalau mtu aliyesoma udom au vyuo vingine unavyoviita vya kata.
mzee mpiga msuli we ni msomi kuwa sehemu ya mabadiliko ya kile unachokiitaji kuliko kutumia mda mwingi kuonyesha umahiri wa kozi uliyosoma au shule/ chuo ulichosoma.