yani we ni muongo ulioshindikana eti mkuu wa department ni nani mmmh msiosoma udom mtazidi kuambiwa sana afu vitu uwe unathibitisha kabla ya kuropokaHAHAHA Degree kama LAW, TELECOMUNICATION ENGINEERING,PSPA,SOCIOLOGY, yaani ni uozo mtupuu yaani mkuu wa department ni tutorial assistant hiki ni chuo cha kata jamani kasoro majengo tuu,
wadau,baada ya rumours nyingi,sasa imebidi niiweke hapa ili wadau mnisaidie.at nasikia kuna degree programmes udom zinatolewa kweny skuli,ambapo hakuna waalimu wowote waliobobea katika fani hizo?yaani kozi zingine zinafundishwa na part times kwa asilimia 100%,na zingine unakuta zinafundishwa na waalimu ambao ukiangalia vyeti vyao hawajawahi kusoma kabisa kozi hizo wanazofundisha.na kuna skuli zinatoa hadi masters wakati hakuna specialist wa area hiyo?Na kozi zingine wanafunzi hawaendi field kabisa.hata wale wanaoenda,eti wanakuwa hawana supervision.yaan mwanafunzi anajifunza wenyewe na kujisahihishia mwenyewe?.hivi kama ni kweli,elimu ya Tanzania tunaipeleka wapi?TCU wapo kweli?au kazi yao ni kuwapangia wanafunz vyuo bila kufanya inspection ya quality ya elimu?
nimeshafika udom nina kakayangu anasoma LAW pale mwaka wa pili yeye mwenyewe anakiri kwamba UDOM ni chuo cha kata, kama hiyo haitosh nina rafiki zangu kumi wapo hapo UDOM nimesoma nao MZUMBE SECONDARY SCHOOL O_LEVEL wanakiri kwamba walimu hawana uwezo wengi wao wana DEGREEMOJA TU
yani we ni muongo ulioshindikana eti mkuu wa department ni nani mmmh msiosoma udom mtazidi kuambiwa sana afu vitu uwe unathibitisha kabla ya kuropoka
sio kwel yawezekana uyo bro wako ndo wale wanaoshinda. Block za madem kupiga story, tutorial walikuwepo mwaka 2007 ambao wengi wao walidhaminiwa na chuo hatimae wengine wamepata masters ana phd hakuna mkuu wa department ambae ni tutorial. Nashauri vijana kama wasomi acheni umbea au wivu wa kike. Hakikisha unachokiongea unaushaidi nacho daima msomi hakurupuki kana -------- wa mtaani
na mimi nilikuwa department ya geography head wetu ni prof.Kaswamila na pia kuna ma dkt kibaoMkuu wa department ya law.DKt chacha, PSPA ni profresa PETER kupoka. Sociology. Dkt ...........
inawezekana kweli kaka ake akikuwa ana shinda block 4 na 5 pia 7 na 9 na pia kwny party moja ya kumaliza chuo kuna mkaka alipewa zawadi ya kuhudhuria sana mablock ya girls inawezekana ni kaka ake mtoa madaSio kwel yawezekana uyo bro wako ndo wale wanaoshinda. Block za madem kupiga story, tutorial walikuwepo mwaka 2007 ambao wengi wao walidhaminiwa na chuo hatimae wengine wamepata masters ana PHD hakuna mkuu wa department ambae ni tutorial. Nashauri vijana kama wasomi acheni umbea au wivu wa kike. Hakikisha unachokiongea unaushaidi nacho daima msomi hakurupuki kana -------- wa mtaani
nimeshafika udom nina kakayangu anasoma LAW pale mwaka wa pili yeye mwenyewe anakiri kwamba UDOM ni chuo cha kata, kama hiyo haitosh nina rafiki zangu kumi wapo hapo UDOM nimesoma nao MZUMBE SECONDARY SCHOOL O_LEVEL wanakiri kwamba walimu hawana uwezo wengi wao wana DEGREEMOJA TU
ntaacha laana kwa ndugu yangu atakaesomea udom! Halafu kuna tangazo la ajira liliwakataa waombaji kutoka udom unalikumbuka? ,
illogic.....non-sense....