Wadau,hivi hii ni kweli kuhusu udom?

Wadau,hivi hii ni kweli kuhusu udom?

C ndo niny ambao mnasubir msomewe notice na wanaume wenzenu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
HAHAHA Degree kama LAW, TELECOMUNICATION ENGINEERING,PSPA,SOCIOLOGY, yaani ni uozo mtupuu yaani mkuu wa department ni tutorial assistant hiki ni chuo cha kata jamani kasoro majengo tuu,
yani we ni muongo ulioshindikana eti mkuu wa department ni nani mmmh msiosoma udom mtazidi kuambiwa sana afu vitu uwe unathibitisha kabla ya kuropoka
 
wadau,baada ya rumours nyingi,sasa imebidi niiweke hapa ili wadau mnisaidie.at nasikia kuna degree programmes udom zinatolewa kweny skuli,ambapo hakuna waalimu wowote waliobobea katika fani hizo?yaani kozi zingine zinafundishwa na part times kwa asilimia 100%,na zingine unakuta zinafundishwa na waalimu ambao ukiangalia vyeti vyao hawajawahi kusoma kabisa kozi hizo wanazofundisha.na kuna skuli zinatoa hadi masters wakati hakuna specialist wa area hiyo?Na kozi zingine wanafunzi hawaendi field kabisa.hata wale wanaoenda,eti wanakuwa hawana supervision.yaan mwanafunzi anajifunza wenyewe na kujisahihishia mwenyewe?.hivi kama ni kweli,elimu ya Tanzania tunaipeleka wapi?TCU wapo kweli?au kazi yao ni kuwapangia wanafunz vyuo bila kufanya inspection ya quality ya elimu?

fanya utafiti mpana zaidi,ikibidi fika adi udom
 
hata najua ni vita ya UDOM NA UDSM MZUMBE SUA NA------
 
nimeshafika udom nina kakayangu anasoma LAW pale mwaka wa pili yeye mwenyewe anakiri kwamba UDOM ni chuo cha kata, kama hiyo haitosh nina rafiki zangu kumi wapo hapo UDOM nimesoma nao MZUMBE SECONDARY SCHOOL O_LEVEL wanakiri kwamba walimu hawana uwezo wengi wao wana DEGREEMOJA TU

Sio kwel yawezekana uyo bro wako ndo wale wanaoshinda. Block za madem kupiga story, tutorial walikuwepo mwaka 2007 ambao wengi wao walidhaminiwa na chuo hatimae wengine wamepata masters ana PHD hakuna mkuu wa department ambae ni tutorial. Nashauri vijana kama wasomi acheni umbea au wivu wa kike. Hakikisha unachokiongea unaushaidi nacho daima msomi hakurupuki kana -------- wa mtaani
 
yani we ni muongo ulioshindikana eti mkuu wa department ni nani mmmh msiosoma udom mtazidi kuambiwa sana afu vitu uwe unathibitisha kabla ya kuropoka

Mkuu wa department ya law.DKt chacha, PSPA ni profresa PETER kupoka. Sociology. Dkt ...........
 
sio kwel yawezekana uyo bro wako ndo wale wanaoshinda. Block za madem kupiga story, tutorial walikuwepo mwaka 2007 ambao wengi wao walidhaminiwa na chuo hatimae wengine wamepata masters ana phd hakuna mkuu wa department ambae ni tutorial. Nashauri vijana kama wasomi acheni umbea au wivu wa kike. Hakikisha unachokiongea unaushaidi nacho daima msomi hakurupuki kana -------- wa mtaani

wee mngese
 
Sio kwel yawezekana uyo bro wako ndo wale wanaoshinda. Block za madem kupiga story, tutorial walikuwepo mwaka 2007 ambao wengi wao walidhaminiwa na chuo hatimae wengine wamepata masters ana PHD hakuna mkuu wa department ambae ni tutorial. Nashauri vijana kama wasomi acheni umbea au wivu wa kike. Hakikisha unachokiongea unaushaidi nacho daima msomi hakurupuki kana -------- wa mtaani
inawezekana kweli kaka ake akikuwa ana shinda block 4 na 5 pia 7 na 9 na pia kwny party moja ya kumaliza chuo kuna mkaka alipewa zawadi ya kuhudhuria sana mablock ya girls inawezekana ni kaka ake mtoa mada
 
nimeshafika udom nina kakayangu anasoma LAW pale mwaka wa pili yeye mwenyewe anakiri kwamba UDOM ni chuo cha kata, kama hiyo haitosh nina rafiki zangu kumi wapo hapo UDOM nimesoma nao MZUMBE SECONDARY SCHOOL O_LEVEL wanakiri kwamba walimu hawana uwezo wengi wao wana DEGREEMOJA TU

Mhhhhh
 
illogic.....non-sense....

jamani ,mimi naomba nipewe status ya school of nursing UDOM.maana nasikia hakuna waalimu ambao ni nursing specialists.eti kuna waalim kama 10,kati ya hao,walio manesi ni wawili tu (TAs),wengine wamesoma vitu vingine tu.na kuanzia dean na heads of departments sio manesi na hawafahamu nesi wa degree anatakiwa ku-cover kiasi gani,wakati shule hiyo inatoa hadi master ya nursing.kisha aliye na details za humanities atatuambia.
 
Back
Top Bottom