Wadau,hivi hii ni kweli kuhusu udom?

Wadau,hivi hii ni kweli kuhusu udom?

Mwakalonge

Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
39
Reaction score
19
wadau,baada ya rumours nyingi,sasa imebidi niiweke hapa ili wadau mnisaidie.at nasikia kuna degree programmes udom zinatolewa kweny skuli,ambapo hakuna waalimu wowote waliobobea katika fani hizo?yaani kozi zingine zinafundishwa na part times kwa asilimia 100%,na zingine unakuta zinafundishwa na waalimu ambao ukiangalia vyeti vyao hawajawahi kusoma kabisa kozi hizo wanazofundisha.na kuna skuli zinatoa hadi masters wakati hakuna specialist wa area hiyo?Na kozi zingine wanafunzi hawaendi field kabisa.hata wale wanaoenda,eti wanakuwa hawana supervision.yaan mwanafunzi anajifunza wenyewe na kujisahihishia mwenyewe?.hivi kama ni kweli,elimu ya Tanzania tunaipeleka wapi?TCU wapo kweli?au kazi yao ni kuwapangia wanafunz vyuo bila kufanya inspection ya quality ya elimu?
 
Mfano wa hizo coz?
Nnavyojua mie kuna baadh ya masomo hayana walimu na hutumia walimu kutoka vyuo vingine na hili sio UDOM tu bali vyuo vingi havijajitosheleza

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
ushaambiwa UDOM ni chuo cha kata ndo sababu ya UDOM kuwa chuo cha kataa
 
toa mfano bas wa hzo programe course!
 
Unajua criteria ya kuanzisha course idarani????
Unajua criteria ya kukubalika kwa course husika????
Unajua sifa za kuajiriwa kama mwalimu wa chuo? ???!!!

Wenye mashaka si mfike pale mkajionee na kupata maelezo,elimu hutafutwa sio ukae hapa utoke na ujuzi na maelezo kama wewe ndo principal wa chuo husika
 
Umewahi kufika?????!
Una mtu wa karibu kasomea pale????

Changanya na zako mbayuwayu!!!!

nimeshafika udom nina kakayangu anasoma LAW pale mwaka wa pili yeye mwenyewe anakiri kwamba UDOM ni chuo cha kata, kama hiyo haitosh nina rafiki zangu kumi wapo hapo UDOM nimesoma nao MZUMBE SECONDARY SCHOOL O_LEVEL wanakiri kwamba walimu hawana uwezo wengi wao wana DEGREEMOJA TU
 
toa mfano bas wa hzo programe course!

HAHAHA Degree kama LAW, TELECOMUNICATION ENGINEERING,PSPA,SOCIOLOGY, yaani ni uozo mtupuu yaani mkuu wa department ni tutorial assistant hiki ni chuo cha kata jamani kasoro majengo tuu,
 
wadau,baada ya rumours nyingi,sasa imebidi niiweke hapa ili wadau mnisaidie.at nasikia kuna degree programmes udom zinatolewa kweny skuli,ambapo hakuna waalimu wowote waliobobea katika fani hizo?yaani kozi zingine zinafundishwa na part times kwa asilimia 100%,na zingine unakuta zinafundishwa na waalimu ambao ukiangalia vyeti vyao hawajawahi kusoma kabisa kozi hizo wanazofundisha.na kuna skuli zinatoa hadi masters wakati hakuna specialist wa area hiyo?Na kozi zingine wanafunzi hawaendi field kabisa.hata wale wanaoenda,eti wanakuwa hawana supervision.yaan mwanafunzi anajifunza wenyewe na kujisahihishia mwenyewe?.hivi kama ni kweli,elimu ya Tanzania tunaipeleka wapi?TCU wapo kweli?au kazi yao ni kuwapangia wanafunz vyuo bila kufanya inspection ya quality ya elimu?

Hebu acha porojo fanya utafiti kwanza ndio uje hapa kutueleza kuliko kukurupuka tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
HAHAHA Degree kama LAW, TELECOMUNICATION ENGINEERING,PSPA,SOCIOLOGY, yaani ni uozo mtupuu yaani mkuu wa department ni tutorial assistant hiki ni chuo cha kata jamani kasoro majengo tuu,

Ha ha haaaa kweli ukiambiwa changanya na zako. ..mkuu wa department ana degree moja really???!!
Hao tutorials unaowaongelea unajua limitation ya job description zao??
Kuna chuo kisichokuwa na tutorials..can you name one???

KAMA KWELI UNAONA NI SERIOUS CASE,UNADHANI HAKUNA EXTERNAL AGENCIES TYAT ARE OVERSEING THE DAY TO DAY ACTIVITIES!!

Kumeshatokea migomo mingi pale kuna hata mmoja wanafunzi wamegomea poor academic staffing????!!
 
We mwenyewe hapo ulipo hujajitosheleza ndo maana huwa unahitaji msada WA mawazo toka kwa wengine, itakuwa Chuo, watu wenyewe cku izi hamtaki kozi ngumu, walimu wakutosha watatoka wapi. Walim part time co Ishu
 
Ha ha haaaa kweli ukiambiwa changanya na zako. ..mkuu wa department ana degree moja really???!!
Hao tutorials unaowaongelea unajua limitation ya job description zao??
Kuna chuo kisichokuwa na tutorials..can you name one???

KAMA KWELI UNAONA NI SERIOUS CASE,UNADHANI HAKUNA EXTERNAL AGENCIES TYAT ARE OVERSEING THE DAY TO DAY ACTIVITIES!!

Kumeshatokea migomo mingi pale kuna hata mmoja wanafunzi wamegomea poor academic staffing????!!

hahaha chuo cha kataa, ushahid mwingine kuna demu anasoma hapo ananiambia hamna walimu tangu kaanza first year mpaka anaingia mwaka wa tatu hajawahi kufundishwa hata na profesa au doctor(PhD),ni uozo jamani elimu inabomolewa tanzania
 
Kila kitu kilichofanywa na kinachofanywa na Kikwete basi kuna kundi fulani la watu huwa ni lazima wakiponde. Hilo kundi wanajulikana ni kina nani na kwanini. Hao sisi huwaita ni "wabaguzi wa ujinga".
 
huyu nae sijui anaongea nini
 
Back
Top Bottom