Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
pesa ina wasumbuaNa wale ambao ni vichochole hohehahe na huku hawana hata tone la busara, unawaweka kundi lipi?
hatujui in out yakePesa shilingi ngapi? Yaan bahressa hana busara au unamaanisha washika mikoba ya harus
hapana,matajiri wengi busara wanakosaPesa kiwango gan? Weny uchungu wa fedha ni wanyenyekevu mno ,wapo smart.
Hao wanaoibia serikala n washirikina ndio wana dharau, ....Matajiri wenye pesa za halali ni wanyenyekevu haswa kulinda brand zao za biashara .
Wengi wanakaa karibu na jamii maana ndio wanawafanya wawe juu kama wateja.