Wadau hivi Sex Friend anakuwaje sielewi kitu

Kwa nilivyoelewa kutokana na neno sex friend huyo n rafiki wa faida, mnapeana lakini hakuna future yeyote kati yenu na kila mtu anae mpenzi wake.

Raha ya aina hiyo ya huo ujinga ni itokee mmekulana kimasikhara alafu baada ya hapo mjadili mnaishije kwenye huo upuuzi. Nimewahi kuwa na aina hiyo ya marafiki lakini baadhi walizidisha wivu(mtu kuanza kukupenda kweli) mambo yakaharibika.
Hii ni kulingana na uelewa wangu.
 
Duh 🙄
 
Mdogo wake mzabzab kwenye ubora wake 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…