Wadau hivi Sex Friend anakuwaje sielewi kitu

Habari wanajukwaa ebu fungueni code sex friend inakuawaje na kanuni zake ni zipi na inaelewekaje na wanawake wa aina gani na inafanyikaje.

Daah ebu fungueni code
Ni umalaya flani tu hivi. Kwa maneno mnasema hakuna future lakini mwanamke anakukamua hela tuu japo anajua hakuna future, papuchi inaliwa na mwanaume unaliwa hela. mwisho kila mtu kivyake
 
Wenyewe hata hawapeani Hela mkuu, wanafanya Uzinzi tu
 
Back
Top Bottom