Kuna mtu alidukua akaunti mkuuπππNi wewe au kuna mtu kadukua akaunti yakoπ
Mm siwez yan show kali nisifall aweeπ€Wenyewe wanakamsemo kao "no strings attached" ila huu urafiki kwangu naona n mzuri kuliko kudanganyana, kupotezeana muda na kuumizana kihisia.
ππππWe nawe nini? Kampe mwenzio πΉ
πππππNataman nizijue hizo principal zako.
Hayo mambo sio ya kuzungumzia hapa tafadhali hapa muhtasari tu, habari kamili kwingineπ€§
Alichokuomba πΉπΉππππ
Nikampe nn?
π, friends for sex,no strings attached, nitaiweza wapi mie haya mamboAlichokuomba πΉπΉ
Unacheka nini ?πππππ
Hapo ndio mnapofeli, na show huwa inabamba sana.Mm siwez yan show kali nisifall aweeπ€
Maana sijategemea nimezoea kukuona kwenye screenshot za nyimbo.Kuna mtu alidukua akaunti mkuuπππ
Nipe mmojaHaya kaka kula ujana uwanja wako wape raha watoto wazuri
Aiseee komenti Yako imenifurahishaUnacheka nini ?
Sasa hiyo ni comment tu vuta picha mengineyo itakuwaje kiuhalisia.Aiseee komenti Yako imenifurahisha
Duh,naona umeamua πSasa hiyo ni comment tu vuta picha mengineyo itakuwaje kiuhalisia.
Acha uchoyo na maisha ni kusaidianaYaani niwe na mtu bila hisia? Bt how jmn?
Nilibyo na wivu Bora nikae Single tu , siwezi
Kwahiyo kutokua na hisia na mtu ndo kusaidiana πno wayAcha uchoyo na maisha ni kusaidiana
Umeniamulisha πDuh,naona umeamua π