Wadau huko kwenu hali ya mafuta ya kupikia ikoje?

Wadau huko kwenu hali ya mafuta ya kupikia ikoje?

Mkuyatimtamu

New Member
Joined
Apr 5, 2021
Posts
2
Reaction score
2
Heshima kwenu wakuu sana!

Niliwahi sikia kuna meli zilizo na shehena ya mafuta ya kupikia zimeingia na siku si nyingi bei ya mafuta ya kupikia itashuka kwa maana ya kurudi kama ilivyokuwa mwanzo. Baada ya kusubiri kwa miezi karibia miwili leo nimeenda kununua mafuta na cha ajabu bei imepanda mara dufu, nimenunua lita 5 kwa Tshs 25,000/=kutoka kwenye bei niliyoiona kubwa ya Tshs 18,000/= miez 2 iliyopita.

Hebu tujuzane wadau huko kwenu vipi?
 
Leo 24.03.2022
Lita 3 ni Tshs 22,000.
Hayo ni yake ya singida.
 
Back
Top Bottom