xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,910
Mkuu hiyo tatu moja inauzwaje madukani?Yes moja tatu ndio jina la chanjo. Kuhusu hao wagonjwa uwezekano wa kufa ni mkubwa kuliko wa kupona ila jaribu kuchanganya punje za mahindi na mafuta ya kula kisha uwape, siwezi kukuhakikishia kuwa ni dawa ila unaweza kujaribu.