Wadau kitimoto nzuri napata wapi Dar?

Wadau kitimoto nzuri napata wapi Dar?

Wadau naomba tushare sehemu nzuri kwa hapa Dar ambazo zinawapishi wazuri wa kitimoto tuweze kuwa tuna badili viwanja.

Majina ya sehem na location itapendeza zaidi.

--------

Pitia link hizi
Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo.

Tujuzane machimbo yetu pendwa ya nyama ya kitimoto

Wadau naomba tushare sehemu nzuri kwa hapa Dar ambazo zinawapishi wazuri wa kitimoto tuweze kuwa tuna badili viwanja.

Majina ya sehem na location itapendeza zaidi.

--------

Pitia link hizi
Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Tujuzane machimbo yetu pendwa ya nyama ya kitimoto
Nenda msikiti wowote hapa Dar waulize watakujibu vizuri
 
Njoo Kinondoni Manyanya. Weka order kwa kupiga simu (0782026691) mapema ukute ushaandaliwa. Maana wengi hawapendi kuonekana wakila mboga pendwa. Tunatenganisha kwa mapazia.
**USIRI ndio ahadi yetu kwa mteja.

E-oM89IXIAYV3Gm.jpeg

images (67).jpeg
 
Kwa JOHN, Manzese TIP TOP!! nusu 5500/=

Hatari unaambiwa...kitu lainiiiiii
 
Back
Top Bottom