Wadau kula bata kesho ni kiwanja kipi kitanoga?

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,806
Reaction score
4,370
Wadau wa kula bata kesho ni kiwanja gani kitanoga kwa kwenda kula bata?
 
Lazima tujuwe kesho tunaenda kula bata wapi
 
Yani unasubir kesho... Ukifa leo usiku.? Toka sasa hivi..
 
Wadau wa kula bata kesho ni kiwanja gani kitanoga kwa kwenda kula bata?
Huo muda wa kula bata mnautoa wapi? Nchi inapitia hali mbaya ya kiuchumi nyie mnawazawaza anasa tu. Kwanini huo muda wa anasa msiutumie vizuri kufanya kazi ili baadaye muenjoy matunda ya jasho lenu? Hivi nyie mkoje? Kama taifa tunaelekea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…