Wadau kula bata kesho ni kiwanja kipi kitanoga?

Huo muda wa kula bata mnautoa wapi? Nchi inapitia hali mbaya ya kiuchumi nyie mnawazawaza anasa tu. Kwanini huo muda wa anasa msiutumie vizuri kufanya kazi ili baadaye muenjoy matunda ya jasho lenu? Hivi nyie mkoje? Kama taifa tunaelekea wapi?

Naona wewe umeamua kuwapangia watu matumizi ya muda na pesa zao... hayo maalezo peleka kwako uko uwe Tajir.
 
Hamnaaaa baaanaaa. Mnaendekeza anasa Sana wakati nchi ipo ICU kiuchumi. Upuuz kama huu hauvumiliki. Sasa na tutaanza na wewe Kama mfano. Onyo kali nakupa usipofanya kazi na kujishughulisha utaona cha mtema kuni na tunakufuatilia kwaanzia sasa hivi. Hatuwez kuwa na taifa la watu unproductive tukafumbia macho. No way?;
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji482][emoji484][emoji518]
 
Back
Top Bottom