MARTIAL20
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 422
- 1,015
Huo muda wa kula bata mnautoa wapi? Nchi inapitia hali mbaya ya kiuchumi nyie mnawazawaza anasa tu. Kwanini huo muda wa anasa msiutumie vizuri kufanya kazi ili baadaye muenjoy matunda ya jasho lenu? Hivi nyie mkoje? Kama taifa tunaelekea wapi?
Naona wewe umeamua kuwapangia watu matumizi ya muda na pesa zao... hayo maalezo peleka kwako uko uwe Tajir.