Wadau, kuna mahusiano gani baina ya mbu na sikio?

Ahahahaha
 


Kuna ukweli fulani ila nitanya utafiti.
 
Hahahahaha, Hao watakuwa mbu wa awamu ya tano Hadi wanajua yupi mwenye pesa na yupi hana.
 
Wadau aiseee ebu wataalam waelezee kidogo uhusiano uliopo kati ya mbu na sikio manake mbu anataka damu so inabidi akungate sasa hii kulia sikioni yaani anauzi atazunguka koote atarudi sikioni ziiiiiiiii na sikioni hakuna damu sijui anataka nini
Ndo anakupa taarifa ivo kua anataka kukung'ata ili usije laumu kua hukumsikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…