Toka asubuhi nimekuwa nikijaribu kufanya malipo kupitia Control Number, lakini kila ninapojaribu malipo yanashindikana. Nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio, hali ambayo imenifanya nikose huduma ninayohitaji.
Naomba kujua, ni mimi tu ninayepata tatizo hili au na wengine pia mnakutana nalo? Kama kuna mtu amefanikiwa kufanya malipo leo kupitia Control Number, atuambie ametumia njia gani.
#JamiiForums #ControlNumber #Malipo