Wadau, kuna tatizo kwenye mfumo wa malipo kwa Control Number leo?

franci45

Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
76
Reaction score
113
Toka asubuhi nimekuwa nikijaribu kufanya malipo kupitia Control Number, lakini kila ninapojaribu malipo yanashindikana. Nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio, hali ambayo imenifanya nikose huduma ninayohitaji.

Naomba kujua, ni mimi tu ninayepata tatizo hili au na wengine pia mnakutana nalo? Kama kuna mtu amefanikiwa kufanya malipo leo kupitia Control Number, atuambie ametumia njia gani.

#JamiiForums #ControlNumber #Malipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…