Wadau kupinga Job Ndugai kuwa Mgeni Rasmi kwenye Tamasha la Simba Day ina maana gani?

ebu tuwe serious na soka, achaneni na milembe milembe huyo
 
Najua mashabiki maandazi watakuja kukupinga Ila huuu ndo ukkweli kabisa
 

Anastahili kupendwa, na kuheshimiwa na kila mtu” Kwa sababu zipi?
 
Hata kama ni kualika kiongozi kuwa mgeni rasmi basi angalau awe kiongozi mwenye maadili sio hawa wahuni
 
Yaani wewe kila kitu unakipeleka kisiasa siasa, yaani upuuzi upuuzi mwingi mpaka kwenye maswala ambayo sio ya kisiasa yaani UPUUZI.
Kwani kakuita kwenye comment yake au kiherehere chako tuu na kudandia mwendokasi kwa mbele??
 
Kwani kakuita kwenye comment yake au kiherehere chako tuu na kudandia mwendokasi kwa mbele??
Hamna mwenye comment yake, hii comment kaiandika humu jamii forum,nadhani unaelewa nini maana ya JAMII forum, angetaka angeenda kupost huko, ila humu ukipost tunacomment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…