Wadau maoni yenu ninataka kutumia ramani hii

Ushauri
Hii master bedroom ungeihamishia room inayofuata. Lengo ni vyoo vikae upande mmoja ili upunguze kona kona za pipe za maji taka
 
Uezekaji wake hautapendeza. Labda kama utaezeka contemporary ndio itapendeza.
 
Tatizo watanzania tunaamini ili nyumba iwe nzuri ni lazima iwe na kona kona kibao [emoji276]sasa makorokoro yote ya nini,sasa stoo utakuwa unafuga paka kiongozi?
 
Tatizo watanzania tunaamini ili nyumba iwe nzuri ni lazima iwe na kona kona kibao [emoji276]sasa makorokoro yote ya nini,sasa stoo utakuwa unafuga paka kiongozi?
We Mwigulu unaiba Sana Kodi zetu
 
Ndio nmeanza kujenga nyumba ya hv nmeinua room 3 na corridor sema kuna marekebisho nimefanya hasa hapo penye mlango wa master

Pi nimeamua sebule iwe madirisha ma3 makubwa na itaungana na dining

Pia store naivunja haina haja
 
Jua kwanza mahitaji ya nyumba yako unataka iwe na nini na isiwe na kitu gani
 
Kwa mimi mkazi wa Dar es Salaam jiji la joto kila siku nagombana na hawa wachora ramani, kwa nini sebule wanazinyima madirisha ya kutosha?
 
Ushauri
Hii master bedroom ungeihamishia room inayofuata. Lengo ni vyoo vikae upande mmoja ili upunguze kona kona za pipe za maji taka
💯🤝Wewe jamaa unajua sana nilitaka niseme jambo hilihili

Kama atashindwa kubadilisha basi atumie mfumo wa rodding eye kwenye sewage system
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…