Wadau maoni yenu ninataka kutumia ramani hii

Efendi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
314
Reaction score
438
Wanajf habari zenu nna eneo langu nataka nianze ujenzi so nikaamua kutafuta karamani simple cha rooms tatu but nikaona nishare nanyi wadau nini cha kuongeza nini cha kupunguza kwenye ramani hii
Screenshot_20221218-083257_Instagram.jpg

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Wanajf habari zenu nna eneo langu nataka nianze ujenzi so nikaamua kutafuta karamani simple cha rooms tatu but nikaona nishare nanyi wadau nini cha kuongeza nini cha kupunguza kwenye ramani hii View attachment 2453475

Ushauri
Hii master bedroom ungeihamishia room inayofuata. Lengo ni vyoo vikae upande mmoja ili upunguze kona kona za pipe za maji taka
 
Uezekaji wake hautapendeza. Labda kama utaezeka contemporary ndio itapendeza.
 
Tatizo watanzania tunaamini ili nyumba iwe nzuri ni lazima iwe na kona kona kibao [emoji276]sasa makorokoro yote ya nini,sasa stoo utakuwa unafuga paka kiongozi?
 
We Mwigulu unaiba Sana Kodi zetu
 
Wanajf habari zenu nna eneo langu nataka nianze ujenzi so nikaamua kutafuta karamani simple cha rooms tatu but nikaona nishare nanyi wadau nini cha kuongeza nini cha kupunguza kwenye ramani hii View attachment 2453475

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ndio nmeanza kujenga nyumba ya hv nmeinua room 3 na corridor sema kuna marekebisho nimefanya hasa hapo penye mlango wa master

Pi nimeamua sebule iwe madirisha ma3 makubwa na itaungana na dining

Pia store naivunja haina haja
 
Jua kwanza mahitaji ya nyumba yako unataka iwe na nini na isiwe na kitu gani
 
Wanajf habari zenu nna eneo langu nataka nianze ujenzi so nikaamua kutafuta karamani simple cha rooms tatu but nikaona nishare nanyi wadau nini cha kuongeza nini cha kupunguza kwenye ramani hii View attachment 2453475

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kwa mimi mkazi wa Dar es Salaam jiji la joto kila siku nagombana na hawa wachora ramani, kwa nini sebule wanazinyima madirisha ya kutosha?
 
Ushauri
Hii master bedroom ungeihamishia room inayofuata. Lengo ni vyoo vikae upande mmoja ili upunguze kona kona za pipe za maji taka
💯🤝Wewe jamaa unajua sana nilitaka niseme jambo hilihili

Kama atashindwa kubadilisha basi atumie mfumo wa rodding eye kwenye sewage system
 
Back
Top Bottom