Wadau maoni yenu ninataka kutumia ramani hii

Sitting room haina focal point. Walls zote 4 ziko occupied. Windows, doors, sofa.
 
Privacy hakuna, mgeni lazima aone vyumba vyote ndo aingie public toilet, sitting room ongeza dirisha , kwaajil ya ventilation, jikoni space ndogo, Ni PM nikurekebishie hio ramani na uone Ramani nyingne simple nilizonazo.
 
Tatufa ramani nyingine kiongozi,hiyo ina makorokoro ambayo kimsingi utamtumia pesa nyingi bila manufaa yeyote
Makorokoro yapi ndugu mie naona imetulia; stoo ina kazi yake haho unaweza weka vogunia 2 vya mahindi toka bara, mchele debe kadhaa toka shamba, mwaka mzima umetulia tu. Au ulitaka abananishe hapo jikoni hause girl awagaie mashoga zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…