ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Sitting room haina focal point. Walls zote 4 ziko occupied. Windows, doors, sofa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makorokoro yapi ndugu mie naona imetulia; stoo ina kazi yake haho unaweza weka vogunia 2 vya mahindi toka bara, mchele debe kadhaa toka shamba, mwaka mzima umetulia tu. Au ulitaka abananishe hapo jikoni hause girl awagaie mashoga zakeTatufa ramani nyingine kiongozi,hiyo ina makorokoro ambayo kimsingi utamtumia pesa nyingi bila manufaa yeyote