Wadau matokeo J.mosi hii kwa wale wa Form 4

Wadau matokeo J.mosi hii kwa wale wa Form 4

Status
Not open for further replies.
Je jamani kunaukweli kuhusu hilo Manake watu Presha Zishaanza kupanda!!!! EMBU TUJUZANE KUHUSU HILO!?
 
Ndo nipo naangalia hapa! Aisee umefeli mbaaya!!
 
Hata kama yakitoka leo,advance mpaka mwezi wa saba ndo utaingia! Relax kijana,form four ni rahisi sana kupita kama maji!
 
Mwenyetaarifa anijuze matokeo ya mdogo wangu jina saumu abdalah shule kisaba sec ipo lushoto tanga.
 
Jaman nauliza matokeo ya kidato cha nne yanatoka lin mana 2mechoka kusubir huk uongo kibao unaenezwa mitaan,msaada plzz!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom