Wadau mjomba wng anasumbuliwa na sukari miaka mingi ss naomba ushauri

Wadau mjomba wng anasumbuliwa na sukari miaka mingi ss naomba ushauri

suzyyy

Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
5
Reaction score
4
Alikuwa na sukari miaka mingi na kutobiwa kcmc,walimpa masharti akayafuatilia km SI asilimia 100 bc 95,ndipo madini yt yakaisha mwilini, kurudi hospital wakamwambia ale kila kitu,ikamsaidia Lea's muda ss Hali mbaya nofanueje?
 
Pole sana; mpatie unga wa moringa atapona mara moja
 
Pole mchemshie majani 3 ya Mstafeli I we ndo chai yake kwa muda wa japo siku 7 apunguze vyakula vyenye sukari
 
Back
Top Bottom