Wadau mliofanikiwa kwenye Forex, kwa mpango wangu huu nami nitafanikiwa ama nitaangukia pua?

Kwa forex trade hisa za kampuni kubwa kama Tesla,EA SPORT,OIL,GOOGLE,APPLE,SAMSUNG.
HIZI NI RAHISI KUZI PREDICT KUliko pesa. Mfn EA SPORT WAKITOA GAME AUTOMATICALLY LAZIMA HISA ZAO ZIPANDE THAMANI. TESLA AKITOA GARI JIPYA Hisa zinaenda juu.
 
Kwa forex trade hisa za kampuni kubwa kama Tesla,EA SPORT,OIL,GOOGLE,APPLE,SAMSUNG.
HIZI NI RAHISI KUZI PREDICT KUliko pesa. Mfn EA SPORT WAKITOA GAME AUTOMATICALLY LAZIMA HISA ZAO ZIPANDE THAMANI. TESLA AKITOA GARI JIPYA Hisa zinaenda juu.
Hizi stocks unatrade kwenye platform gani?
 
Njoo kwenye compound interest huku huangaiki ata ku trade!
 
Tatizo wana trade currency au bidhaa ambazo hawajaufaham muelekeo wake.. ushauri tafuta instrument ambayo unaweza kuifuatilia kwa ukaribu uka master then ikakupa consistency ya profits

Kwa mfano unaweza kuamua ku deal na Pair moja tu kama EURUSD na ukapata matokeo mazuri, au unaweza kukomaa na OIL (Brent/WTI)

Binafsi nimeamua kukomaa na hizo instruments mbili yaani EURUSD na Brent crude oil. Kwa mfano baada ya Chanjo ya Corona kuanza kupatikana OIL amepanda thamani hivyo week mbili zote zilizoisha imekuwa BULLISH na watu walio BUY Oil wamepiga pesa nzuri tu.

Benefits nyingine ya ku trade OIL ni kwamba haipo Volatile hivyo mpaka mtu kuchoma account siyo jambo rahisi labda mtu mwenyewe aamue.

Broker mzuri anayenipa mazingira mazuri ni Pepperstone
 
Kwa wale wapenzi wa Crude Oil , ni mwendo wa ku buy tuu. hii ndio faida ya ku trade bidhaa zinazotabirika uelekeo wake
 
Biashara gani unayoifaham ambayo zaidi ya 20% wamekua highly successful achana na ufanyaji wa mazoea. Fanya research vizuri
 
Mkuu ukiweza kufuata uliyoyapanga umetoboa. Utata wa forex baada ya kupata ujuzi hua ni high expectations, ndo chanzo cha changamoto zoote. Forex ukiitreat km biashara zingine ukaipa mda wa kuikuza basi mbeleni utaifaidi sana. Binafsi baada ya kuondoa focus kwenye expectations na kufocus kwenye quality setups na risk mgt naenjoy sana hii biashara
 
Mwezi uliopita nili raise USD 39 mpk zikawa USD 400
 
Tafuta mentor mzuri mtrade pamoja
 
Fungua sasa akaunti na TemplerFx uweze ku weka na kutoa pesa kwa njia ya M PESA.

Mahitaji :

E-mail

Kitambulisho cha mpiga kura

Kitambulisho cha Uraia (NIDA)


Leseni ya Udereva au Passport


 
Fungua sasa akaunti na TemplerFx uweze ku weka na kutoa pesa kwa njia ya M PESA.

Mahitaji :

E-mail

Kitambulisho cha mpiga kura

Kitambulisho cha Uraia (NIDA)


Leseni ya Udereva au Passport


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…