Wadau mliofanikiwa kwenye Forex, kwa mpango wangu huu nami nitafanikiwa ama nitaangukia pua?

Sasa unaweza kutuma na kutoa hela kutoka TEMPLERFX rahisi kabisa kwa kutumia M Pesa , Tigo Pesa , Airtel Money, Halo Pesa.

Kama hujafungua account, fungua sasa

Mahitaji

E mail

Namba yako ya simu kwa mitandao tajwa

Kitambulisho cha Kura AU

Kitambulisho cha Uraia AU

Leseni ya Udereva AU

Passport.

Msaada zaidi njoo PM

Msaada zaidi PM

Sjui Kwa nn watu hawaelewi hili , in short Forex ni kubahatisha ..... Kuna watu wanacontrol soko , hakuna formula maalum ...... Japo kuna watu wenye nyota ya kubahatisha lakn still ni risk , 95% ya watu wanaloose af useme mi normal kama business zingine , hyo ni bonanza iliyochangamka
Nani aliyekuahidi kuwa ukifungua duka lako asubuhi kuwa utapata wateja?
Lakini ni imani yako
Hivyo hivyo kweny forex, soma elewa juwa unatafuta nn fanya backtesting ujue indicators zako vizur
Asante.
 
Shida ya forex unachokipanga ni ngumu sana kukifuata ..tena kama hauna mishe ya kufanya ndo uko tu na fx hapo lazima utachemka tu ..kama unataka kuiva basi kubali kwanza kupoteza ulichonacho ili uwe Guru inakupasa kukaa hata miaka mitatu hadi mitano..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Forex ni kama betting...Tena bora betting
1.Forex ni Vs wazungu na mbaenk
Betting ni Vs Wahindi na betting companies

2.betting unakuwa unazijua tim
Forex hujui market(unstability)

3.Betting rahisi kumasta
Forex ngumu kumasta

4.Betting hawapangi matokea lakini wanalimit odds
Forex wanacontrol matokeo

5.Betting unaweza kuulamba lakini forex you are guaranteed to loose
Kama hujui kitu siyo lazima uandike omba kuelimishwa

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Na ipo complicated makusudi ili kuwavuta maboya...utaambiwa unaliwa kwasababu ya strategy mbovu au psychology au hufatilii news nk. nk. unakuta unajipa moyo unaendelea kutrade kuwapa hela wazungu.
Utaambiwa forex ni betting kwa wale wasioijua vizuri
Lakini utakuta wanaoijua vizuri hawatrade ila wanauza forex lessons au signals
Ni kweli sasa hivi traders wengi wanafundisha zaidi kuliko ku trade..lakini haiondoi Kwamba ni biz maana tunapata pesa

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Forex ni kama betting...Tena bora betting
1.Forex ni Vs wazungu na mbaenk
Betting ni Vs Wahindi na betting companies

2.betting unakuwa unazijua tim
Forex hujui market(unstability)

3.Betting rahisi kumasta
Forex ngumu kumasta

4.Betting hawapangi matokea lakini wanalimit odds
Forex wanacontrol matokeo

5.Betting unaweza kuulamba lakini forex you are guaranteed to loose
....uliposema betting hawapangi matokeo ndio umebugi....pia betting companies sio za wahindi tu...ziko za warusi..wazungu.....

Betting odds vs forex pips

Betting company....forex broker

Matches in Betting can be manipulated ...forex can manipulated through news

Ila betting rahisi kuliko forex
 
Siamini katika matokeo kupangwa...hizo ni propaganda za scam artists
 
Dear Client,

We are pleased to inform you that Vodacom’s M-Pesa mobile option for deposits and withdrawals has been reenabled. Be sure to use this payment solution to conveniently make fast and convenient transactions in a just few steps.

Enjoy the benefits:

Instant deposits
Withdrawals within 24 hours
No commission or transfer fees from our side

Multiple transactions per day
Advanced security and safety

Terms and Conditions:
Minimum amount of deposit: 200 000 TZS.

Maximum deposit amount per transaction: 500 000 TZS.

Minimum withdrawal amount: 25 USD.
Mobile number to use in the transaction must be Vodacom M-Pesa and the one that client provided upon registration with Tickmill.

To change the mobile number in his/her Client Area, must send email to support@tickmill.com or contact Account Manager, requesting to change phone number by stating the reason (e.g. to deposit via Vodacom M-Pesa).

Should you have any questions, please do not hesitate to contact our dedicated Support Team via email, phone or Live Chat.

Kind Regards,

The Tickmill Team.
 
Yaani uweke 200k to 500k halafu kutoa ~ 60000 hilo tayari ni tatizo. Kwanini waruhusu kuweka pesa kubwa halafu kutoa iwe pesa kidogo?
 
Nimeelewa usd 25 ni minimum withdrawal ,na si chini ya hapo ila unaweza withdrawal zaidi ya hizo
 
Dear Client,

We are pleased to inform you that Vodacom’s M-Pesa mobile option for deposits and withdrawals has been reenabled. Be sure to use this payment solution to conveniently make fast and convenient transactions in a just few steps.

Enjoy the benefits:

Instant deposits
Withdrawals within 24 hours
No commission or transfer fees from our side

Multiple transactions per day
Advanced security and safety

Terms and Conditions:
Minimum amount of deposit: 200 000 TZS.

Maximum deposit amount per transaction: 500 000 TZS.

Minimum withdrawal amount: 25 USD.
Mobile number to use in the transaction must be Vodacom M-Pesa and the one that client provided upon registration with Tickmill.

To change the mobile number in his/her Client Area, must send email to support@tickmill.com or contact Account Manager, requesting to change phone number by stating the reason (e.g. to deposit via Vodacom M-Pesa).

Should you have any questions, please do not hesitate to contact our dedicated Support Team via email, phone or Live Chat.

Kind Regards,

The Tickmill Team.
Ndo kitu gani hiki?
 
Billionaire traders are the wealthiest traders in the world, earning more than 1.000.000.000 dollars from trade assets.
Top 5 Famous Billionaire Traders in the World
George Soros
Carl Icahn
Ray Dalio
Ray Dalio forex trading
David Tepper
James Simons

The Richest and most famous active traders in the World list in 2022 are:
George Soros (8.6 billion dollars)
Paul Tudor Jones II (7.3 billion dollars)
John Paulson (4.0 billion dollars)
Andreas Halvorsen (6.3 billion dollars)
Bill Ackman (3.3 billion dollars)
Before you see the wealthies
The top 15 most prosperous stock traders in the US in 2022. are:
Warren Buffett $107.2b
Jim Simons $24.4b
Ray Dalio $20b
Carl Icahn $15.6b
David Tepper $15.8b
Ken Griffin $20.8b
Steve Cohen 15.9b
George Soros 8.6b
Israel Englander 10.5b
David Shaw 7.5b
David Siegel 6.5b
Chase Coleman III 10.3b
Paul Tudor Jones II 7.3b
Bruce Kovner 6.2b
Stanley Druckenmiller 6.8b
 
Back
Top Bottom