Mathew joseph
New Member
- Jan 23, 2014
- 4
- 0
Mara nyingi wanaokimbilia Uganda huwa wanakwepa Tz kutafuta credit, kuna mshkaji alifeli 4m4 Tz akaenda Ug kuanza 4m5 kule hakunaga kutafuta credit, serikali iwe makin na hili maskini wasionauwezo wa kusoma Ug watabaki apa kutafuta credit
Wacha urongo,ukisoma nje ya Nchi ukiomba chuo hapa tz lazima chet chako ukipeleke necta wakakifanyie grading ya tz. Unaweza kuwa na one uganda necta wakakugrade ukawa na div 2 au 3 hiyo ndo unaombea chuo na mkopo hapa tz. apart from that huwez chukuliwa