Wadau mliosoma uganda naombeni mnisaidie

Wadau mliosoma uganda naombeni mnisaidie

Mathew joseph

New Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Hivi ukitaka kusoma uganda form 5 ufahuru wake unakuwaje?

Na je ukimaliza form 6 kule ukija TZ unaweza kujiunga chuo chochote na mkopo unapewa?
 
ndiyo mkuu mkopo unapata kama kawaida na unasoma chuo chochote hapa tanzania
 
Mara nyingi wanaokimbilia Uganda huwa wanakwepa Tz kutafuta credit, kuna mshkaji alifeli 4m4 Tz akaenda Ug kuanza 4m5 kule hakunaga kutafuta credit, serikali iwe makin na hili maskini wasionauwezo wa kusoma Ug watabaki apa kutafuta credit
 
Elimu ya form 4 ni sawa na darasa la 7 tz ndo mana hawaangalii hizo credit ila we jifelishe halafu uone mziki wake kuingia chuo na hizo F zako za form4 utaishia kusomea vicollege vya mtaani
 
Mara mia ubaki Tz kuliko kusoma UG, tumesoma chuo na wanafunzi toka Ug, nivilaza uspime, kama unataka elimu kasome Kenya, wale washkaji wapo juu ila sio Ug na ninaushahidi product za Ug hamna kitu
 
ukisoma nje ya Nchi ukiomba chuo hapa tz lazima chet chako ukipeleke necta wakakifanyie grading ya tz. Unaweza kuwa na one uganda necta wakakugrade ukawa na div 2 au 3 hiyo ndo unaombea chuo na mkopo hapa tz. apart from that huwez chukuliwa
 
Wacha urongo,
 
Back
Top Bottom