Wadau mnanaikumbuka hii michezo ya Utotoni? Je, mchezo upi uliupenda Sana!?

Wadau mnanaikumbuka hii michezo ya Utotoni? Je, mchezo upi uliupenda Sana!?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Kichwa cha habari chahusika

Mimi nilipendelea zaidi mchezo wa kombolela

Tule tumbakishie Baba
Mdako
Tobo ngumi
Kombolela
Kujipikilisha
Tayari bado
Kibabababa

Michezo hii ilijenga afya zetu na kuimarisha upendo baina yetu

Karibuni tuchangie
 
Umeacha mchezo mmoja wa heshima sana unaitwa BONG'OA/ 50 PUTUKA huu ni ulikuwa kiboko
 
Back
Top Bottom