U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Mar 15, 2021 #1 Kichwa cha habari chahusika Mimi nilipendelea zaidi mchezo wa kombolela Tule tumbakishie Baba Mdako Tobo ngumi Kombolela Kujipikilisha Tayari bado Kibabababa Michezo hii ilijenga afya zetu na kuimarisha upendo baina yetu Karibuni tuchangie
Kichwa cha habari chahusika Mimi nilipendelea zaidi mchezo wa kombolela Tule tumbakishie Baba Mdako Tobo ngumi Kombolela Kujipikilisha Tayari bado Kibabababa Michezo hii ilijenga afya zetu na kuimarisha upendo baina yetu Karibuni tuchangie
polokwane JF-Expert Member Joined Dec 16, 2018 Posts 3,361 Reaction score 5,842 Mar 15, 2021 #2 Umeacha mchezo mmoja wa heshima sana unaitwa BONG'OA/ 50 PUTUKA huu ni ulikuwa kiboko
U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Mar 15, 2021 Thread starter #3 polokwane said: Umeacha mchezo mmoja wa heshima dana unaitwa BONG'OA/ 50 PUTUKA huu ni ulikuwa kiboko Click to expand... Mkuu tusaidie tujue huo mchezo upoje?
polokwane said: Umeacha mchezo mmoja wa heshima dana unaitwa BONG'OA/ 50 PUTUKA huu ni ulikuwa kiboko Click to expand... Mkuu tusaidie tujue huo mchezo upoje?
Shaniqwa Member Joined May 22, 2020 Posts 52 Reaction score 103 Apr 29, 2021 #4 polokwane said: Umeacha mchezo mmoja wa heshima sana unaitwa BONG'OA/ 50 PUTUKA huu ni ulikuwa kiboko Click to expand... We mwamba lazima wa Mbeya wewe 🤣🤣🤣
polokwane said: Umeacha mchezo mmoja wa heshima sana unaitwa BONG'OA/ 50 PUTUKA huu ni ulikuwa kiboko Click to expand... We mwamba lazima wa Mbeya wewe 🤣🤣🤣