Wadau mnisaidie katika hili la kuacha kazi

Wadau mnisaidie katika hili la kuacha kazi

Biqo

Member
Joined
Jan 16, 2015
Posts
13
Reaction score
1
Poleni kwa majukumu ya kila siku. nafanya kazi katika shirika moja binafsi kwa mkataba wa miaka miwili na ktk mkataba huo ili uresign unatakiwa utoe notice ya miezi 3 au uache/ ulipe mshahara wa mwezi mmoja. sasa nimeandika notice ya mwez mmoja na wameniambia hawatanipa mshahara mwezi huu. swali langu je mchango wangu wa mfuko wa jamii wa huu mwezi watapeleka kwenye mfuko wa jamii? na wasipopeleka ni sawa kisheria??
 
kulingana na contract yenu hutolipwa kwa notice uliyoitoa na malipo hayatopelekwa kwani itachukuliwa kama automatic agreed termination of employment hivo malipo ya mfuko wa jamii hukoma pale ajira au mkataba ulipositishwa
 
Back
Top Bottom