Wadau mpaka leo manzi hajazaa...

Wadau mpaka leo manzi hajazaa...

Nendeni hospitali wakunga wanautaalamuvwa kutosha kuwaambia, na ultrasound ya pili mlifanya? Imesema nini maana Huwa inatoa umri wa mimba as well
 
Ultrasound inasemaje kwenye expected date? Au mnapima Kwa macho? Mara nyingine Kuna kupitiliza hata Mimi wakati nazaa mtoto wangu wa 3 nipipotiliza mwezi mzima nikazaa mtoto mkubwa mwenye kilo 4.5 tofauti na wenzie walizaliwa na kilo 3.5
 
Ulizaa kawaida Jirani?
 
Nia yako ni kukataa mtoto lakini 100% kwa tarehe hiyo ni wako
 
Iko hivi,kaona p mara ya mwisho December 04 kafanya mapenzi tarehe 17 anadai kapata mimba,ila mpaka saiz hajazaaa wataalamu hakuna kitu kizito hapaaaa
Si ulishaambiwa huu mzigo wa mwezi wa kumi. Kuzaa si kazi, kazi kulea. Wakiume wenzako watakuambia
 
Inategemea na mzunguko wake kama ni Siku 28, 29, 30 Mpaka 35.

Mimba zingine zinaenda mpaka wiki ya 40 Huko
Lakini kikawaida Mtoto anatakiwa kuzaliwa wiki ya 38 -40
Àmbapo Kwa tarehe tajwa Hapo Basi atazaliwa Mwezi wa Kumi wiki ya Kwanza au yapili
 
Back
Top Bottom