MTU WA MAPEMA
New Member
- Jul 6, 2014
- 4
- 0
mimi navyoona hatukupaswa kutoa sarafu ya shilingi 500, kama kigezo ni kuwa noti inachakaa kwanini tusingeimarisha hiyo noti kwa kuchapicha noti ya 500 yenye ubora???? ebu wadau mliosoma changieni mada hii:flame::flame: