Wadau msaada jamani, Mwanangu ana nywele nyingi kupita kiasi

Wadau msaada jamani, Mwanangu ana nywele nyingi kupita kiasi

McFerson

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,166
Reaction score
2,322
Wasalaam,

Kuna nyuzi nyingi zipo jukwa hili za matatizo ya nywele na watu wanasaidiwa vizuri,kwangu mimi shida yangu ni mwanangu ananywele karibia uso mzima. Nimejitahidi kumtinda mara nyingi mpaka naona anataka kuvuka under five,mwanzoni nilijua atakuwa vizuri sasa naanza kupata wasiwasi yaani anakosa shape nzuri, ingawa ni mtoto wa kiume nahisi anaweza asivutie ukubwani.

So please naomba mwenye utaalamu na kitu hii anisaidie ili nywele ziache kuota.

Naomba kuwasilisha.
 
Duh...pole sana,vipi si za kurithi labda baba au babu alikuwa nazo pia? Btw ngoja tuwasubiri wataalam zaidi wa mambo ya nywele,
 
Duh...pole sana,vipi si za kurithi labda baba au babu alikuwa nazo pia? Btw ngoja tuwasubiri wataalam zaidi wa mambo ya nywele,

Mkuu mjomba wake zipo ila sio kama zilivo kwa mwanangu
 
muache nazo hivo hivo tena umesema ni mtoto wa kiume hizo si ndio nzuri ili aje anyoe timbalend au anyoe 0 au hutaki mwanao awe hendi sam boi tehe tehe
 
Duuh pole sana hata mimi mama yangu ali niambia nili zaliwa hivyo hadi akawa ana niogopa hata kuni nyonyesha ila sijafahamu ali tumia dawa gani lkn usoni hazioti tena ila napata tabu kwenye ndevu yani zinaota hadi kero kwa wiki nanyoa ndevu mara2 hadi 3 nikisema niziache zina washa najikuna hadi natoka mapele
 
muache nazo hivo hivo tena umesema ni mtoto wa kiume hizo si ndio nzuri ili aje anyoe timbalend au anyoe 0 au hutaki mwanao awe hendi sam boi tehe tehe

Zina kera yaani zi washa pia hazi chelewi kuota
mfano mimi
 
Tumia hizo dawa za hospital zikishindwa nitafute nikusaidie.
 
Pole sana,ilo tatzo linaweza sababishwa na vitu viwili kwanza ulaji wa mtoto mfano kuna aina ya vyakula ambvyo mtu akila either mama mwenye mtoto kabla ya kuzaa au mtoto mwenywe inasababisha uzalishaji wa chemical inayochochea ukuaji wa nywele,pili kuna swala la genetic make up au kuridhi kutoka kizazi kimoja hadi kingine linaweza kuwa sababu pia........Tiba:nenda hospital hilo tatzo ni dogo sana utapata tiba bila shaka....ni hayo mdau mwenzangu
 
Weka picha yake hapa nione nashindwa kukushauri. Nisaidie nipate pa kuanzia
 
Back
Top Bottom