Wadau msaada jinsi ya kuhakiki cheti cha kuzaliwa Rita

Wadau msaada jinsi ya kuhakiki cheti cha kuzaliwa Rita

Fadhili Jr

Member
Joined
Oct 14, 2019
Posts
96
Reaction score
25
Hivi ukishatuma cheti kwa ajili ya kuhakiki Rita kinakaa siku ngap majibu yanarudi?
 
Ndani ya wiki moja hadi mbili majibu yanakuwa tayari.

Wengi niliowafanyia uhakiki ni ndani ya muda huo majibu yanakuwa tayari.
uhakiki wa cheti cha kuzaliwa na kifo Rita ili kuomba mkopo Elimu ya juu Heslb.jpg
 
Mimi shida yangu cheti cha ndoa,taratibu zipoje?
 
Yes, hapo tayari. Majibu yakirudi utaona kwenye sehemu ya Status hapo.
Mkuu ebu nisaidie. Cheti nimehakiki tayari ila ukiingia Heslb wao wanataka certificate verification number na kwenye cheti kilichohakikiwa hio namba haipo hili tatizo mmetatua vipi. Hawapokei siku wangese.
 
Back
Top Bottom