Fadhili Jr
Member
- Oct 14, 2019
- 96
- 25
Hivi ukishatuma cheti kwa ajili ya kuhakiki Rita kinakaa siku ngap majibu yanarudi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hapo nakuwa nimeshamliza nasubil majibu au?Ndani ya wiki moja hadi mbili majibu yanakuwa tayari.
Wengi niliowafanyia uhakiki ni ndani ya muda huo majibu yanakuwa tayari.View attachment 2686831
Yes, hapo tayari. Majibu yakirudi utaona kwenye sehemu ya Status hapo.Kama hapo nakuwa nimeshamliza nasubil majibu au?View attachment 2686839
Oky xawa nduguYes, hapo tayari. Majibu yakirudi utaona kwenye sehemu ya Status hapo.
Hivi mkuu pale kwenye "entry no" tunajaza namba gani?Yes, hapo tayari. Majibu yakirudi utaona kwenye sehemu ya Status hapo.
Angalia kwenye cheti chako imeandikwa kabisa entry no.Hivi mkuu pale kwenye "entry no" tunajaza namba gani?
Asante Mkuu, hapo nimeelewa shukurani sanaAngalia kwenye cheti chako imeandikwa kabisa entry no.
Mkuu ebu nisaidie. Cheti nimehakiki tayari ila ukiingia Heslb wao wanataka certificate verification number na kwenye cheti kilichohakikiwa hio namba haipo hili tatizo mmetatua vipi. Hawapokei siku wangese.Yes, hapo tayari. Majibu yakirudi utaona kwenye sehemu ya Status hapo.