Ingia web hii www.josiakibira.ac.tz ikifungua utaona neno mission and vision angalia upande wa kulia wa home yao kuna link zinapita angalia sehemu ya prospectus then download angalia ukurasa wa 4/5 pia ktk hizo link kuna medical form chuo chenyewe kinafungua th. 7 october kuna jingine?
Ingia web hii www.josiakibira.ac.tz ikifungua utaona neno mission and vision angalia upande wa kulia wa home yao kuna link zinapita angalia sehemu ya prospectus then download angalia ukurasa wa 4/5 pia ktk hizo link kuna medical form chuo chenyewe kinafungua th. 7 october kuna jingine mkuu? Mafanikio mema.