wadau msaada kwa mwenye join ya josiahkibira university

wadau msaada kwa mwenye join ya josiahkibira university

kinota

Member
Joined
Feb 8, 2012
Posts
41
Reaction score
3
najaribu kufungua web yao hata haifunguki hivyo naomba kwa aliyonayo ,nawakilisha wakuu
 
Ingia web hii www.josiakibira.ac.tz ikifungua utaona neno mission and vision angalia upande wa kulia wa home yao kuna link zinapita angalia sehemu ya prospectus then download angalia ukurasa wa 4/5 pia ktk hizo link kuna medical form chuo chenyewe kinafungua th. 7 october kuna jingine?
 
Ingia web hii www.josiakibira.ac.tz ikifungua utaona neno mission and vision angalia upande wa kulia wa home yao kuna link zinapita angalia sehemu ya prospectus then download angalia ukurasa wa 4/5 pia ktk hizo link kuna medical form chuo chenyewe kinafungua th. 7 october kuna jingine mkuu? Mafanikio mema.
 
Back
Top Bottom