Wadau, msaada: Natumia PC Dell Vostro yenye sifa zifuatazo, ila inachemka sana

Wadau, msaada: Natumia PC Dell Vostro yenye sifa zifuatazo, ila inachemka sana

Hussein J Mahenga

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2012
Posts
750
Reaction score
656
Wadau,

Kwanza niweke wazi, mimi si mtaalamu sana wa PC. PC yangu ni DELL VOSTRO yenye specifications hizi kwenye picha. Ila sasa, inachemka sana. Shida inaweza kuwa nini?
1654942098930.png
 
Feni linazunguka vizuri? Wakati unatumia huzibi sehemu za hewa?

Pia kama upo comfortable kuifungua jaribu kuweka thermal paste vizuri.
 
Umefanya updates?
Kuna kitu kinaitwa "Service host: Diagnostic Policy" ukifungua task manager utakuta inakula CPU kwa asilimia 30% hivyo hata kama pc haifanyi chochote inakuwa inashika moto. hivyo inabidi ucancel.

Solution ni updates.
 
Back
Top Bottom