Kwanza niweke wazi, mimi si mtaalamu sana wa PC. PC yangu ni DELL VOSTRO yenye specifications hizi kwenye picha. Ila sasa, inachemka sana. Shida inaweza kuwa nini?
Umefanya updates?
Kuna kitu kinaitwa "Service host: Diagnostic Policy" ukifungua task manager utakuta inakula CPU kwa asilimia 30% hivyo hata kama pc haifanyi chochote inakuwa inashika moto. hivyo inabidi ucancel.