Nitanunuaje gari huko Singapore wkt wanyonge hata mlo wetu mmoja ni shida?Umewahi nunua Gari Singapore au story tu za JF na kwenye vijiwe vya Kahawa?
HayaNi story tu mkuu,mi mwenyewe hapa ninamiliki tu baiskeli ya gia na poumbu zangu 2 tu.
Acha utoto!Nitanunuaje gari huko Singapore wkt wanyonge hata mlo wetu mmoja ni shida?
Nimekuachia wewe fogo utupe feedback ya utamu wa magari ya huko Singapore.
Utoto wa kiwango cha sgr tena mkuuAcha utoto!
Sawa mke wangu.Acha utoto!
Wala hujakosea mama watoto.Utoto wa kiwango cha sgr tena mkuu
Naomba kujua bei fuel pump ya Audi A3Wewe tu ulikuwa hujui wapi upate spares. Mimi nauza spares za hayo magari nina vitu vingi sana vya audi a4.
1.service parts zote eg oil filter,air filter,fuel filter,pollen filter
2.suspension parts zote eg shock absorbers,tie rod end,rack ends,control arms,stabilizer links,wishbone bushes
3.fuel pumps
4.water pump
5.mass air flow sensor
6.oxygen sensor
7.radiator
8.radiator fan
9.timing belt
10.cylinder head gasket
11.top cover gasket
12.spark plugs
13.ignition coil
14.expansion tank
15.cv joints
16.thermostat with housing
etc etc etc
naomba namba yako tafadhaliUkichukua nitafute nitakuletea spare yeyote hadi mwanza. Kwanza ukiitoa tu njoo nikuuzie service parts ufanye service kabla ya kusafiri nayo. Ni gari nzuri sana sijui umechagua engine ipi 2.0fsi au 1.8T au 1.9TDi?
kaka naomba namba yako au nicheki 0765775963Hakuna kiwanda kinachozalisha magari yenye mapungufu kutumika, spare zisiwepo duniani, isipokuwa hofu yetu sisi tumekariri aina ya magari kununua kwamba spare, mafuta, durability, n.k na sababu zingine za kiuchumi. Niseme hivi kama magari ya toyota ni cheap na easy to maintain yakiharibika kwanini bado yapo kwenye magogo na mawe huko kwenye magereji !? Jenga itikadi ya kununua gari ulipendalo na unaloweza kumudu kulihudumia kufuatana na kipato chako kilivyo. Ni mtizamo tu japo.....
Watalaam wa magari wanakuja
naomba namba yako tafadhali yangu ni 0765775963Ukichukua nitafute nitakuletea spare yeyote hadi mwanza. Kwanza ukiitoa tu njoo nikuuzie service parts ufanye service kabla ya kusafiri nayo. Ni gari nzuri sana sijui umechagua engine ipi 2.0fsi au 1.8T au 1.9TDi?
Ulipata?Wasalam aleykum ndugu na jamaa.. twende moja kwa moja kwenye Hoja.
Ninavutiwa miaka mingi sana na hizi Audi a4 na mungu akijalia kabla mwezi haujaisha natarajia kuchukua moja beforward. Wenye elewa na hizi gari mnisaidie mawili matatu je ni gari inayomudu masafa marefu kwakua naishi mwanza na trip zangu ni Dar-Mwanza-Musomo na vip upatikanaji wa speares kwa miakoni mbali na Dar. kwasasa natumia brevis, Natanguliza kheri
NB mafuta sio tatizo wakuu. gari ni hii.