Wadau na ombeni mawazo yenu kuhusiana na B.COM international business

Wadau na ombeni mawazo yenu kuhusiana na B.COM international business

profesa.n.

Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
84
Reaction score
58
Hii ni fakalti inayo tolewa udom,sasa wakubwa hii inshu ajira zake zimekaaje,plez mawazo yenu
 
Ni noma hiyo kitu ukichukua hiyo piga na tally piga na ma accounting course mbili tatu you are someone else
Ajira Ernst and Young hii hapa...
 
Accounting package inatumika kurekodi data za accounts na kuandaa report kwa kampuni ndogo ndogo
 
Back
Top Bottom